Utunzi Nyumbani

Kama mtu ako na virusi vya korona, kutunzwa hospitalini na kujitenga ndio njia mwafaka za kufuata.

Lakini nchini Kenya, hii haiwezekani kila wakati. Kwa wale ambao dalili si makali, kutunzwa nyumbani inaweza kusaidia. Hii inasaidia kuhakikisha hospitali ina vitanda vya kutosha kwa wale wameathirika vibaya.

Kutunzwa nyumbani inafaa wakati:

Chumba kilichotengwa, chenye hewa safi kinafaa kwa mgonjwa anayatunzwa nyumbani. Hawafai kutangamana na wengine nyumbani kwa sababu inaeza saidia kuenea kwa virusi vya Korona. Wanaowatunza nyumbani wanafaa kuwa na vifaa vya kutosha vya kuwakinga kama vile barakoa na glavu.

Wagonjwa wa Korona wanaweza, kuhisi kushuka kwa haraka kwa viwango vya oksijeni kwa mwili, bila dalili zozote zilizo wazi. Pamoja na kupima joto ya mwili, kupimwa na kifaa kijulikanayo kama pulse oximeter kila wakati inaweza kuokoa maisha.

Mtaalamu wa kiafya wa kijamii au wahuduma wa afya wanaa kuhusishwa