Virusi vya Korona

Korona ni virusi vya hewa vya kuambukiza. Kutoka mwaka wa 2019, ilisababisha janga duniani.

Zaidi ya watu milioni kumi, yaaminika walikufa kutokana na virusi hivyo. Takriban asilimia kumi ya watu duniani yaaminika wameambukizwa na virusi hivi.

Ingawa watu wengi hawaonyeshi dalili za kuambukizwa na virusi vya korona, kwa hali hatarishi, husabaisha kushindwa kwa mapafu kufanya kazi na hata kifo. Wale walio katika hatari ya kuambukizwa ni watu wazee na wamama wajawazito.

Virusi vya Korona husambaa kupitia hewa kutoka kwa wale ambao tayari wameathiriwa na virusi hivi. Barakoa, kuwa katika chumba kilicho na hewa safi kisichosimama na kutiiza umbali wa kimwili ni njia nzuri za kujikinga na virusi hivi.

Kuchanjwa inapunguza hatari ya kuambukizwa na virusi vya Korona